Uliiona ile video ya Kanye West aliyompigia magoti Kim Kardashian.
Tukio hili aliweza kukoti waimbaji 50 kumuimbia katika uwanja wa AT&T halafu katika big screen alieka maneno haya "WILL YOU MARRY MEEE!!.
Je wajua hio pete ilikuwa ya aina gani na uzani wake ni upi?? Msanii Kanye hachezi na maswala kama haya.
Kanye aliweza kumpatia Kim pete ya diamond yenye uzani wa 15 carat (3 grams).
Hebu cheki hio picha ya pete nzito ya diamond hapa

Wajua Uzani Wa Pete Ya Kim Aliyopewa Na Kanye West?
Reviewed by Admin
on
Monday, October 28, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano