Wiki iliyopita Aunty Lulu hakuwa na furaha kwani wezi walivamia duka lake la bidhaa linalopatikana Kinondoni - Biafra jijini Dar es salaam.
Kisa hiki kilitokea wiki iliyopita wakati wa usiku wa manane. Bidhaa zilizoibiwa zilikuwemo chupi zake, viatu, simu na pesa.
"Kwa kweli nimechanganyikiwa sana, hadi sasa bado sijajua thamani ya vitu vyote kwa jumla ni kiasi gani lakini nasema sitaki lawama." alisema Aunty Lulu.
Aunty Lulu ni msanii wa filamu za kibongo ambapo awali alikuwa mtangazaji. "Nimeshakwenda Bagamoyo kwa mtaalam wangu na kazi imekwisha. Natoa makataa ya siku saba vitu vyangu virudishwe." Aunty Lulu aliwaonya wezi hao bila kutoamaelezo zaidi

Aunty Lulu Awapatia Makataa Ya Siku 7 Baada Ya Kuibiwa Chupi Zake Na Bidhaa Nyingine
Reviewed by Admin
on
Wednesday, October 16, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano