Maisha ya siku hizi yamekuwa nipe ni kupe. Lakini kwa mwongoza filamu huyu leo ilikuwa siku yake ya arobaini. Hakuweza kujitetea kwani alivamiwa na umati wa watu. Siri ya watu wawili ilifichuka.
Mwongozaji filamu chipukizi Edward Nicas Temu alifumaniwa kitandani na mwanadada msanii ambaye alikuwa akifanya moja wapo ya filamu zake.
Inaamika msanii huyu lazima umhonge kwa ngono ndipo atakapokuruhusu kufanya kazi na wewe.Huko Kinondoni alikusanya wanawake wengi ili kufanya uchaguzi wa filamu zake.
Director huyu anatoa filamu zake tatu 'Bad Father','The Reason' na 'House Girl N Boss'
Picha na udaku zaidi kuhusu hii stori unaweza kudondoa katika blog ya paparazi huyu [XDEEJAYZ]

Director Wa Filamu Za Kibongo Anaswa Akila Uroda Na Bibi Ya Wenyewe(Picha)
Reviewed by Admin
on
Friday, October 11, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano