Matukio haya yote yalitokea jijini Entebbe nchini Uganda ambapo ilikuwa siku ya kuosha magari Spennah beach wakiwa wamevalia bikini.Yote haya yalifanyika siku ya Jumamosi 27 Oktoba. Wanawake wakiwa wamevalia nguo nusu uchi waliwafamia wanaume waliokuwa kaika tukio hili huku wakilazimisha wasakate densi pamoja. Cheki . (Picha zote kwa hisani ya Micheal Kakumirizi).
Nchi Ya Uganda Ina Laana,, Cheki Kwa Nini Nasema Hivyo (PICHA)
Reviewed by Admin
on
Wednesday, October 30, 2013
Rating:
Kama Bongo tu... Kule Sodoma hapa Gomora
ReplyDelete