Picha za Jack Dustan kuonekana kutembea nusu uchi zimefichuka. Hii ni baada ya paparazi kuzipata picha hizo na kuzisambaza. Ni aibu kwa mwanadada huyu kutembea hivi katika nchi ambayo raia wake wanaheshimu sana miili yao.
Mrembo huyu anajulikana sana kupitia shindano la Maisha Plus Season 2 amenaswa akitembea mtaani dubai na kibukta.
Paparazi huyu ambaye ni mwandani wa Jacqueline aliongea na Weekly Star Exclusive kuwa alishangazwa mno baada ya Jack kumtumia hizo picha. Paparazi huyo aliomba jina lake libanwe ili uhusiano wake na huyu star usiharibike.
"Sikuamini kabisa kama ni yeye kwa maana sijawahi kumuona akivaa nguo hivi bongo, japokuwa anavaa nguo fupi si kama hicho kibukta kifupi..." alisema paparazi huyo
Paparazi huyo alijaribu kumuuliza kwa nini anavaa nguo kama hiyo alijibu kuwa hakuna shida yeyote, ni vile tu wabongo wanapenda sana kuingilia na kufuatilia maisha ya watu.

Jack Dustan Atembea Dubai Nusu Uchi
Reviewed by Admin
on
Sunday, October 13, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano