Kampuni ya BlackBerry imezinduka macho baada ya miaka mingi kukataa kujihusisha na kampuni nyingine za simu.
BlackBerry ni kampuni inayojulikana sana kwa jinsi inavyoficha habari za watumizi wake ili zasijulikane na wengine. Kampuni hii imepongezwa na watu mashuhuri kama rais Barrack Obama.
Lakini baada ya kukumbwa misukumo ya kibiashara dhidi ya kampuni nyingine za simu, BlackBerry imeamua kuzinduka.
Hivi sasa imeamua kuweka wazi kitumizi chake cha BBM(BlackBerry Messenger) kwa mifumo mingine ya simu kama vile Android na iOS.
BlackBerry inapania kushindana na mahasimu wengine katika sekta ya vitumizi vya 'Instant Messenger' kama vile WhatsApp, Kik Messenger, WeChat, Line na KakaoTalk.
Kitumizi hiki cha BBM kilipaniwa kuzinduliwa mwezi wa Septemba lakini kilivuja kwa umma na ikabidi kampuni ya BBM kufunga huduma hio kwa muda.
Kampuni hii ina watumizi wa BBM milioni 60 na wanadai kuwa Android na iOS iliisaidia sana WhatsApp kufanikiwa hadi kupata watumiaji zaidi ya milioni 300.
'Nawaomba mu download BBM halafu ujisajili na email yako ili uanze kutumia BBM kirasmi." aliongea mkuu wa BBM Andrew Bocking.
Hivi ninapoandika hili chapisho kuna watumiaji zaidi ya milioni 6 wameanza kutumia kitumizi hiki.
Unaweza sasa kuingia na kudownload katika Google Play ama App Store ili uweze kutumia kutumizi hiki ambacho kinapendwa na wengi.

BBM Sasa Ipo Kwa Android na iOS
Reviewed by Admin
on
Tuesday, October 22, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano