Lupita Nyong'o katika Hollywood Film Awards |
Msanii huyu ambaye sahizi anatoa filamu na mastaa watajika kama Brad Pitt, ametajwa kuwa msanii asiyejulikana lakini ataitetemesha Hollywood hivi karibuni.
Mtandao wa E! Online,walimpongeza kwa jinsi alivyovalia wakati wa tuikio hilo.
Msanii huyu ameigiza katika filamu ya '12 Years A Slave' ambayo ameigiza na wasanii wakiwemo Brad Pitt na Michael K. Williams.
Pia mwigizaji huyu amepewa nafasi ya kuigiza katika filamu nyingine ya hollywood ya 'Non-Stop' ya Liam Neeson itakayotoka mwaka wa 2014
Cheki video wakati wa kupokea tuzo hilo:
Msanii Wa Kenya Ashinda Tuzo La 17th Hollywood Film Awards
Reviewed by Admin
on
Saturday, October 26, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano