Maandalizi ya show kubwa inayotarajiwa kuanza rasmi Jumamosi hii yako karibu kukamilika.
Leo nchi ya Tanzania itaanza kuwapokea rasmi kundi la kwanza la wasanii wanaotarajiwa kuwasili.
Kundi la kwanza la Mohombi limetarajiwa kufika saa moja na nusu na ndege ya Kenya Airways. Baadae pia msanii mtajika Alaine wa Jamaika kuwasili.
Cheki maaandalizi ya jukwaa hapa
Msanii ambaye pia anatarajiwa kufika leo atakuwa ni Davido na kundi lake mida ya sita usiku.
Sherehe hii ya Fiesta 2013 imetabiriwa kuwa shoo kubwa ambayo yaijawahi kushuhudiwa kwa muda mrefu.

Wanamziki Wa Kimataifa Waanza Kuwasili Kwa Tukio Kuu La Fiesta 2013, Dar
Reviewed by Admin
on
Thursday, October 24, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano