Baada ya wiki ndefu ambayo ilikuwa ikizungumzwa kuhusu uhusiano wa ndani kati ya Wema na Diamond, Sasa ukweli umeanza kudhihirika.
Msanii Wema Sepetu amefungua roho yake baada ya kukanganya wadaku na mafans wake kwa siku nyingi.
Katika mtandao wa kijamii, Wema alitoa picha nyingine huku akionyesha kwamba vile watu wanavyomfikiria na uhusiano wake wa kimapenzi na diamond ni porojo tu. Wema katika hio picha aliandika hivi:
What they think is Diamond, what I think is money"
Ujumbe huu anaupeleka kwa wote ambao wanadhani kuwa yeye anafikiria mahusiano yake na Diamond pekee.
Sasa haijabainika alimaanisha nini katika huo ujumbe wake kwa sababu unaweza kutafsiriwa ki tofauti.

Mimi Hufikiria Pesa Tu, Wema Awajibu Mafans Wake Kuhusu Diamond Platinumz
Reviewed by Admin
on
Monday, October 21, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano