Miley Cyrus ametisha.... staa huyu video yake ya Wrecking Ball imekuwa ya kwanza kuvunja rekodi ya kuangaliwa mara nyingi muda wa masaa 24 katika VEVO
Video hii inaendelea kuzua hoja nyingi kuhusu mwanadada huyu.
Cheki baadi ya .GIF vilizotoka katika video yake ya Wrecking Ball....Ajab!!!
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano