Mabingwa hawa wawili katika usanii wanazidi kuzua tetesi kila siku na haijulikani kama Wema amerudiana rasmi na Diamond au la. Tetesi hizi zote zilikuja baada ya Diamond kupiga picha na Wema wakiwa katika mahaba nchini uchina.
Sasa kumeibuka mapya baada ya Wema kupiga picha katika mtandao wa Webstagram akionyesha amevaa viatu vya Diamond.
Ukiangalia vizuri utapata kuona hio picha ya hivyo viatu vinalingana sawia na vile viatu alivyovaa Diamond alipokuwa Uchina.
Je, kuna ajenda ya chini ambayo wapendanao hao wanaashiria kuwa wako katika uhusiano ama ni kuvuruga akili za mafans tu!
Tegea hapa hapa tukifuatilia yote yatakayojiri.

Ishakuwa Rasmi Kuwa Diamond Amerudiana na Wema!?
Reviewed by Admin
on
Thursday, October 17, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano