Kupitia mtandao wake wa instagram, msani huyu wa 'Number One' alichukua fursa hii kuwashukuru mafans wake Mombsa, Dar es salaam, Burundi, Zanzibar, Kigoma, na Rwanda. Alishukuru kila mmoja aliyemsaidia kufanikisha kutoa sadaka hii ya siku kuu ambayo ilifanyika siku ya Jumanne.
Diamond amasikika sana kanda ya afrika mashariki kwa nyimbo yake ya 'Nataka Kulewa'
Diamond amasikika sana kanda ya afrika mashariki kwa nyimbo yake ya 'Nataka Kulewa'
Diamond Awashukuru Mafans Wake Kwa Kutoa Sadaka Ya Eid Ul Adh'ha
Reviewed by Admin
on
Wednesday, October 16, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano