Rihanna Atoa video ya 'Behind The Scene Making Of Pour It Up', Ajifundisha Kudengua Viuna, Majanga Matupu
Rihanna ametoa video ya utengenezaji wa nyimbo ya 'Pour It Up'. Katika hio video kumejaa vituko huku sehemu flani Rihanna akionyweshwa amevaa nguo nusu, kuweko kwa wasagaji na hata wengine akiwemo Rihanna kucheza poll dancing.
Rihanna inakisiwa alipata mafundisho ya kudengua kiuno(poll dancing) kabla hajaitoa video hii.
Cheki video yenyewe hapa:
Rihanna inakisiwa alipata mafundisho ya kudengua kiuno(poll dancing) kabla hajaitoa video hii.
Cheki video yenyewe hapa:
Rihanna Atoa video ya 'Behind The Scene Making Of Pour It Up', Ajifundisha Kudengua Viuna, Majanga Matupu
Reviewed by Admin
on
Wednesday, October 16, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano