Unordered List

Definition List

Justin Bieber Atoa Nyimbo Mpya

Mashabiki wa Justin Bieber leo Jumatatu wametumbuizwa baada ya Bieber kuachilia nyimbo yake mpya "All That Matters". Hii itakuwa nyimbo yake ya pili kwa muda wa wiki mbili. Nyimbo hii aliitoa kupitia mtandao wa VEVO na alikuwa na haya ya kusema katikla twitter yake:

"Are you counting down with me to Midnight for new #MusicMonday - #AllThatMatters?"


Justin Bieber - "All That Matters"

"You make me complete / You're all that matters to me," Bieber aliimba hivyo katika nyimbo yake, labda alikuwa akimuwaza Selena Gomez. "I am grateful for your existance / Faithful no matter the distance."

Wiki iliyopita Bieber alitoa nyimbo nyingine ya 'Heartbreak'

Justin Bieber Atoa Nyimbo Mpya Justin Bieber Atoa Nyimbo Mpya Reviewed by Admin on Monday, October 14, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.