Kim Kardashian na Kanye West wameapa kumfungulia mashtaka paparazi aliyevuja video ya Kanye pale alipokuwa amempigia Kim magoti akimuomba amuoe.
Video hio iliyopigwa katika uwanja wa AT&T park ilimuonyesha Kanye amekimpigia magoti Kim.
Wapendanao hao wawili walikuwa wamealika marafiki wao wa karibu kuhudhuria na walionywa kutopiga picha zozote katika tukio hilo.
Wawili hao wanaamini wanamjua ni nani aliyechukua video hio na wameapa kumshtaki kwani kila mmoja aliyehudhuria tukio hilo aliweka mkataba wa maandishi kuwa hawatopiga picha zozote.
Huku tetezi zikiendelea ikiwemo wengi wakiuliza Kim na Kanye watakuwa pamoja kwa muda gani, inasemekana kuwa Kanye anaharakisha wawili hao wafanye ndoa haraka iwezekanavyo.

Kim Na Kanye Waapa Kumfungulia Mashtaka Aliyevuja Video Ya Wawili hAO
Reviewed by Admin
on
Friday, October 25, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano