Justin Beiber aliwaangushia mashabiki wake wiki iliyopita nyimbo yake mpya ya Heartbreak. Aliwaahidi kuwa kila wiki atakuwa akitoa nyimbo mpya kwa mashabiki wake.
Nyimbo yake hii ya kwanza katika huu msururu ni Heartbreak na Bieber alikuwa na haya ya kusema alikupowa akiieleza nyimbo hii:
"Hii ni nyimbo ya watu ambao wanapitia matatizo ya kuachwa na wapenzi wao - kama nilivyokuwa mimi wakati nilipokuwa nikiandika nyimbo hii. Imenigusa na ningependa kugawa na nyinyi hisia nilizopitia. Najivunia kutoa hii nyimbo na natumaini mafans wangu wataikubali kwa sababu imetoka kwa moyo wangu"
Justin Bieber - "Heartbreaker"

Hahahah labda anaashiria vile alivyotemwa na mpezi wake wa zamani Selena Gomez. Kweli?
"You will know my words, my heart. #journals," aliongeza haya kwa twitter yake.
Nyimbo yake ya pili ni 'All That Matters'
Justin Beiber Na Nyimbo Yake Mpya Heartbreaker, Wiki Iliyopita
Reviewed by Admin
on
Monday, October 14, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano