Mtangazi Adam Mchomvu wa Clouds fm ameonyesha upumbavu baada ya kupost picha katika instagram ambayo imemuonyesha akidondokwa na kamasi kama mtoto mdogo. Hii imeonyesha kuwa mtangazaji huyu ana ishara ya akili finyu na wengine wamekisia kuwa ni uvutaji mwingi wa bangi.
Mafans wake katika mtandao wa instagram walimshambulia. Na haya ndio baadhi ya maoni yaliyotolewa kuhusu picha hiyo.
Mafans wake katika mtandao wa instagram walimshambulia. Na haya ndio baadhi ya maoni yaliyotolewa kuhusu picha hiyo.
Mtangazaji Wa Clouds Fm Aleta Aibu Mtandaoni.
Reviewed by Admin
on
Sunday, October 13, 2013
Rating:
ukosefu wa heshima
ReplyDelete