Siku ya 20 Oktoba ilikuwa siku ya kusherehekea siku ya Mashujaa nchini Kenya.
Nchi ya Kenya kama kawaida iliweza kufanya sherehe hio kwa kusikiliza hotuba ya rais Uhuru Kenyatta.
Mtandaoni pia mambo yalikuwa hayo hayo. Mtandao wa google.co.ke pia uliweza kusherehekea siku hio kimtindo. Watumiaji wote wa mtandao wa Google Kenya waliweza kujeuziwa picha ya kawaida ya Google na kuwekewa picha yenye bendera ya Kenya na mwanariadha ambaye anaonekana katika kilele cha mbio alizokuwa akikimbia.
Picha hii ilichorwa na mshindi wa Doodle 4 Google, Esther Wambui Githinji na ilikuwa na ujumbe huu: Heri ya Sikukuu ya Mashujaa

Google Yasherehekea Na Wakenya Kimtindo
Reviewed by Admin
on
Sunday, October 20, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano