Msanii wa kimataifa Mohombi Nzasi Moupondo baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere kwa ajili ya shoo kali ya Serengeti Fiesta itakayofanyika kesho katika viwanja vya Leaders Club. Mbele yake ni Fauzia mratibu wa shughuli za Serengeti Fiesta kutoka PrimeTime Promotions.
Msanii wa kimataifa Mohombi Nzasi Moupondo (kulia) akifanya interview na wanahabari baada ya kutoka nje ya uwanja wa ndege kwa ajili ya kufanya shoo kali ya Serengeti Fiesta inayotarajiwa kufanyika kesho katika viwanja vya leaders club. Tamasha hilo limedhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia bia ya Serengeti Laga.
Mohombi (kulia) akisindikizwa kutoka nje ya uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere baada ya kushuka na ndege ya Turkish Air lines na Afisa wa ndege hiyo Ebubekir Ekici ambaye pia alifurahia ujio wake Tanzania.
Mobombi akiwa amepozi na mtangazaji wa Clouds Tv baada ya kupokelewa jana katika Msanii wa kimataifa anaetamba na kibao chake kikali cha “Kiss Me”uwanja wa ndege wa mwalimu Nyerere.
Mombombi Akiwasili Jana Katika Uwanja Wa Ndege Wa Julius Nyerere
Reviewed by Admin
on
Friday, October 25, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano