Mensen Selekta, producer ambaye anashikilia tuzo la KTMA ya mtayarishaji bora kwa musiki 2013, anataka kuleta mpango mpya wa Gifted Black Cyper katika studio anayoiendesha ya Defatality Music.
Mpango huu lengo lake nikuwezesha na kuwaunganisha wasanii wa hiphop wa zamani na wale wa kisasa.
Katika mahojiano katika kipindi cha E-News katika runinga ya runinga ya EATV, producer huyu amesema lengo lake kuu ni kuona ya kuwa nyimbo za hiphop zina kuzwa zaidi.
Kwa muda mrefu nyimbo za hiphop nchini Tanzania zimepungua makali yake ukilinganisha na zamani ambapo nyimbo aina hio zilikuwa zikisifika sana.

Mensen Selekta: Nataka Kuifufua HipHop
Reviewed by Admin
on
Friday, October 25, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano