Nairobi. Mapastor kutoka sehemu za Kitengela wamezua mshtuko baada ya kujitokeza hadharani na kusema tabia ya ushoga inakubaliwa katika jamii.
Mapasta hao wakiwa zaidi ya 50 kutoka makanisa tofauti tofauti wamejitokeza na kuiomba jumuia ya makanisa wakubali tendo la jinsia moja kama jambo la kawaida. Wahubiri hao wanaomba kanisa wakubali tendo la ushoga kama ni kitu cha kawaida.
Kutia kidonda msumari, wahubiri hao wamechukua hatua nyingine ya kufungua kilabu kinachojulikana kama 'United Coalition of Affirming Africans' ambacho kitatumika kupigania haki za masoga wote.
"Hatuwezi kusema ushoga ni jambo zuri kwani halijaonekana tendo baya." Rev. Michael Kimindu mkuu wa kikundi hicho aliongea kimafumbo.
Jambo kuu la wahubiri hao ni kuona kanisa limekubali ushoga.
Habari hii imetolewa kutoka NairobiExposed

KIAMA KIKO KARIBU: PASTA WAFUNGUA KANISA LA MASHOGA KENYA
Reviewed by Admin
on
Saturday, October 26, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano