Makulubita, Uganda. Mzee wa makamo anayetambulika kama Moses Ssembajjwe mekamatwa wa majasusi wa Uganda CID baada ya kupatikana na msichana wa shule.
Polisi walifanya uchunguzi wa kumtafuta msichana huyo baada ya babake mzazi kutoa ripoti kwa afisaa wa polisi. Eria Basekka, baba wa muathiriwa alishtaki kutotea kwa mtoto wake kwa maofisaa wa polisi.
Msichana huyo alionekana baadaye akitembea katika moja wapo ya mitaa ya Makulubita. Msichana huyo aliwapeleka maafisaa hao mpaka kwa mzee huyo.
Ilibainika kuwa mzee huyo alikuwa akimfunga msichana huyo ili asitoke nyumbani.
Msichana huyo alikuwa anakatia mtihani wake wa shule ya msingi mwaka huu. Polisi wanaendelea na utafiti wao kubainisha yatakayojiri.

Mzee Wa Miaka 50 Akamatwa Baada Ya Kuoa Mwanafunzi
Reviewed by Admin
on
Thursday, October 17, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano