Lady Gaga kwa uzinduzi wa 'cover art' ya nyimbo yake 'Do What U Want' aliyoimba na R. Kelly ni tofauti kabisa. 'Mother Monster' alirudia tabia yake na haogopi chochote.
Wasanii kama Miley Cyrus, Rihanna na Ke$ha mwaka huu wametumia njia ya kuonyesha uchi wao ili kuuza album zao, kwa nini Gaga ashindwe na jambo dogo kama hilo? Gaga anataka hata kuonyesha zaidi.
Wiki iliyotangulia tumeshuhudia wasanii wengi wakijaribu kushindana kuonyeshana maungo yao ikiwemo Kim Kardaishian na Miley Cyrus.
Lady Gaga ni msanii wa tetesi nyingi ulimwenguni kwa jinsi anavyovyalia katika shows zake. Inajulikana kuwa msanii huyu hajali chochote, hivi karibuni alivalia nguo iliyotengenezwa na makaratasi na miaka michache iliopita aliingia katika MTV Awards akiwa amevalia nguo iliyotengenezwa na nyama.
Lady Gaga katika picha hio aliyoituma kupitia mtandao wa instagram alionyesha makalio yake.
Mwezi wa Novemba 11 anatarajiwa kutoa album yake ya 'Artpop'
Msanii huyu ni maarufu kwa nyimbo aina ya 'pop' na ni msanii aliyeorodheshwa na Billboard(2013) kuwa analipwa zaidi ulimwengu mzima

Lady Gaga Aonyesha Makalio Yake
Reviewed by Admin
on
Monday, October 21, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano