Kama wewe ni fan wa 'Keeping Up With The Kardashian' ambacho ni kipindi kinachopeperushwa katika runinga ya E! ama kama wewe ni shabiki wa Kim Kardashian basi ona video ambayo ilikuwa ya utata pale ambapo star Kim alipokuwa akijifungua mtoto wa Kanye, North West. Tukio hili lilitokea juni 15.
Video hii ya kionjo itawekwa wazi kwa mara ya kwanza katika runinga ya E! wiki inayokuja Jumapili 27 Oktoba.
Kuwa wa kwanza kuitizama hapa:
Video hii ya kionjo itawekwa wazi kwa mara ya kwanza katika runinga ya E! wiki inayokuja Jumapili 27 Oktoba.
Kuwa wa kwanza kuitizama hapa:
Video Ya Utata Pale Kim Kardashian Apokuwa Akijifungua
Reviewed by Admin
on
Monday, October 21, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano