Mtangazaji huyu wa kipindi cha Mkasi katika runinga ya EATV alionekana akitusi mbele ya kamera akitumia kitole wakati walipokuwa wakirekodi kipindi cha EPIQ BSS 2013 kinachopeperushwa TBC1.
Salama alifanya tukio hilo akiwa ameketi pamoja na mwanamziki wa kizazi kipya Profesa Jay.
Salama alifanya tukio hilo akiwa ameketi pamoja na mwanamziki wa kizazi kipya Profesa Jay.
Kutok kushoto Profesa Jay, Jabir, Madame Lita, na Master Jay |
Mtangazaji Jabir Wa Kipindi Cha Mkasi Atukana Mashabiki Wake(Picha)
Reviewed by Admin
on
Saturday, October 19, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano