Unordered List

Definition List

Msanii Wa Ngoma Za Injili Apiga Picha Uchi

Tabia za wasanii kupiga picha uchi si jambo geni kwa wasanii hao kwani ni njia moja yao ya kupata umaarufu.

Sasa nchini Nigeria msanii wa injili anayejulikana kama Maheeda amechukua hatua ya kupiga picha akiwa utupu. Jambo hili limeghadhabisha wengi kwani kitendo chake kimeonekana kama laana kwa wana jamii.

Msanii huyu inasemekana kabla kujiunga na nyimbo za injili alikuwa ni mwimbaji wa nyimbo za kidunia.

ILANI: PICHA HIZO ZIMEVUKA MIPAKA:
Tazama picha hizo [HAPA]
Msanii Wa Ngoma Za Injili Apiga Picha Uchi Msanii Wa Ngoma Za Injili Apiga Picha Uchi Reviewed by Admin on Sunday, October 27, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.