Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu enzi za uhai wake
Mh. Jaji Warioba akisaini kitabu cha Maombolezo leo mchana
nyumbani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu jijini Dar es Salaam
bofya
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akisaini kitabu cha maombolezo October 29, 2013 nyumbani kwa marehemu Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akisaini kitabu cha maombolezo October 29, 2013 nyumbani kwa marehemu Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
Mama Gertrude Mongella akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba
wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu nyumbani kwake Sinza Mori
October 29, 2013
Mh. Jaji Warioba na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
kimataifa Mh. Bernard Membe wakibadilishana mawazo kwenye msiba wa
Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu October 29,2013
Baadhi ya viongozi waliofika msibani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
Watu wa karibu na marehemu waliokuwa wanaishi naye huko Zanzibar
wakizungumza jambo kwenye msiba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
leo nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam
Mtoto mkubwa wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu, Aman Isaac
Sepetu akizungumza jambo na mwandishi wa habari, Mkwaia wa Kuhenga
October 29, 2013 nyumbani kwa Marehemu
Mtoto wa marehemu akimsalimia mama baada ya kufika msibani hapo jana mchana
Mama akiwa na mwanae baada ya kufika msibani
Wema Sepetu (katikati) akiongea na Dada yake (wa kwanza Kushoto) na (kulia) ni mama yake mama yake mzazi
Kajala alishindwa kujizuia na kuanza kulia na kupelekea watu wengine kuanza kulia kwa majonzi
Mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu ukifikishwa nyumbani kwake
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu likibebwa na kupelekwa ndani ya nyumba
Aman Isaac Sepetu ambaye ni mtoto mkubwa wa marehemu akitoka ndani na msalaba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
likitolewa ndani ya nyumba kwa ajili ya kufanyiwa maobi na kuagwa ili
kupelekwa Zanzibar kwa ajili ya mazishi
Wema Sepetu akiwa ameshikiliwa baada ya kuona mwili wa baba yake mzazi Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu ukiwa kwenye jeneza
Ilikuwa ni simanzi kubwa kwa Wema Sepetu
Wema Sepetu akiwa na simanzi nzito
Mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu ukiwa ndani ya jeneza
Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham
Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana October 29, 2013
Ni simanza msibani kwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu jana October 29, 2013
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh. Bernard Membe akitoa
salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu jana nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo October 29, 2013
Baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
Mwendesha misa akitoa neno
Somo la mwenyezi mungu likisomwa wakati wa kuagwa kwa Mwili wa
Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake jijini Dar es
Salaam jana October 29, 2013
Baadhi ya watoto wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
Wasifu wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetua ukisomwa
Mtoto mkubwa na msemaji wa familia, Aman Isaac Sepetu akitoa
shukrani kwa wale wote waliofika kuwafariji kwenye msiba wa baba yao
mpendwa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu nyumbani kwake jijini Dar
es Salaam jana October 29, 2013
Mke wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu akiwa na mmoja wa mtoto wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu
Baadhi ya ndugu na jamaa waliofika msibani
Ni majonzi
Picha: Hisani ya Bongoclan
Mazishi Ya Babake Wema Sepetu (PICHA)
Reviewed by Admin
on
Wednesday, October 30, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano