Snura Antony Mushi almaarufu 'Snura' anajulikana na wengi kwa vile alivyobarikiwa kudengua kiuno. Star huyu wa Majanga amejitokeza nakusema kuwa kiuno chake kimemfanya yeye kuongeza idadi ya wanaume wanaomtongoza. "Wapo wengine wanajitolea kuwa wataninunulia gari, wengine hata nyumba." alisema mwanadada huyu ambaye amebarikiwa na maumbile ya mwanamke wa kiafrika.
Snura aliongezea kusema kuwa kubiringisha kiuno chake katika shoo ndio sababu kuu kufanya waume kumbabaikia. Lakini cha kushangaza ni kuwa wale wanaomfuata ni waume za watu. "Mimi siwezi kukubali kuchukua bwana wa mtu, hata kama wameniahidi magari na majumba." alisema.
Snura anajulikana sana kwa kazi yake ya kudengua viuno.
unaweza pia kusoma:
Je, Kupiga Punyeto Hadharani Yakubaliwa Sweden?

Snura: Kiuno Changu Kimezuzua Wengi
Reviewed by Admin
on
Saturday, October 12, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano