Watanzania watatu hawakufaulu hatima yao baada ya kunaswa nchini Kenya wakielekea Somalia.
Ali Ramadhan 22, Musa Daudi
19, na Shabaan Bakiri Wazir 21, wamenaswa na polisi wakielekea Kismayu.
Kulingana na Gazeti la The Standard, watatu hao walikamatwa tarehe 20 Oktoba, Jumapili iliyopita.
Polisi hawajajua nia ya watatu hao na sahizi wamewekwa kizingitini huku wakihojiwa na kusaidia katika uchunguzi zaidi.
Unaweza pia kusoma:
Al Shaabab Yasherehekea Baada Ya Tukio La Westgate
Watatu hao waliweza kuingia Kenya kutoka Dar es salaam wakivuka mpaka wa Lungalunga baadaye wakapitia na njia ya Mombasa, Malindi na Lamu kutokezea Somalia.
Kulingana na duru watatu hao walikuwa wanaelea Somalia kwa vita vitakatifu.

Watanzania 3 Wanaswa Kenya Baada Kushukiwa Kuwa Wanamgambo Wa Al Shabaab
Reviewed by Admin
on
Thursday, October 24, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano