Msanii huyu ameonyeshwa katika video hii akiwa anadungua kiuno huku amesimama juu chini kuashiria vile ana maungo laini.
Cheki video:
SNURA: Kiuno Changu Kimewazuzua Wengi
Rihanna yuko katika ziara ya 'Diamonds World Tour' ambapo anazuru nchi kadhaa ulimwenguni.
Unaweza pia kuangalia zile picha ambazo zilizomfanya Rihanna afukuzwe katika msikiti Grand Mosque, Abu Dhabi.
Rihanna Adengua Kiuno Juu Chini Akiwa Amevalia Bikini
Reviewed by Admin
on
Friday, October 25, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano