Hivi majuzi tu mwanamuziki Ray C aliapa ya kuwa ataachana na maovu na kumrudia muumba wake. Msanii huyu ambaye amejihusisha sana na utumiaji wa dawa za kulevya alisema kuwa ataachana na matumizi ya dawa ya kulevya na kusema kuwa ataokoka. Lakini juzi tu aliingia katika mtandao wa instagram na kuyaonyesha mapaja yake kwa mafans wake.
Ray C Awapima Mashabiki Wake Imani Kwa Huonyesha Sehemu Zake Za Mwili
Reviewed by Admin
on
Thursday, October 10, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano