Alhamisi kuamkia Ijumaa lulu aliwaonyesha mashabiki wake tatoo yake mpya iliyoandikwa kwa bega lake la kushoto juu ya kifua. Baada ya kuonyesha tatoo hiyo iliyochorwa 'Only God Can Judge Me' alikuwa na haya ya kusema.
“Kumekuwa na kawaida ya watu kuongea
na kuhukumu wenzao bila ya kujua wanachokiongelea pengine!! kwa upeo
wangu mdogo nafahamu sisi wote ni binadamu na tunamtegemea mtu mmoja
MWENYEZI MUNGU…lakini cha kushangaza kuwa watu wako busy kuhukumu wenzao
kuliko hata huyo mwenye cheo chake, hivi Mungu angetaka kufanya kama
wanadamu tunavyofanya tungeangaliana kweli? nadhani umefika wakati wa
kumuachia mwenye majukumu yake kufanya kazi…tuache kujipa u busy usio wa
lazma….!!!ONLY GOD CAN JUDGE ME….Gud nyt fam”
Lulu Ajichora Tatoo. Ujumbe Awaonyesha Mahasidi Wake
Reviewed by Admin
on
Thursday, October 10, 2013
Rating:
Aseme anachokitaka huyo
ReplyDelete