Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Aongea Kuhusu Malezi

kim kardashian
Jana usiku, 28 Oktoba, Kim alikuwa akisherehekea miaka 33 tangu kuzaliwa kwake mjini Las Vega.

Lakini wengi waliohudhuria pale lengo lao halikuwa kusherehekea kuzaliwa kwake bali ilikuwa kuhusu ile pete kubwa aliyoivaa katika kidole chake.

"Nadhani yeye anapenda ladha iliyotofauti kabisa, na naona amedhihirisha hayo." Kim alikuwa akiongea kuhusu Kanye West na ile pete ya diamond yenye uzani wa 15-carats ambayo alimpatia siku ya Jumatatu iliyopita huku akiongezea kuwa hakuwa na fununu zozote kuhusu hio pete.
"Niliamka siku ya pili nikaangalia mkono wangu na kusema, 'Hio haikuwa ndoto bali ni ukweli '"
 Kim aliongea na Entertainment Tonight.

 Cheki video ya mahojiano:

Kim Kardashian Aongea Kuhusu Uzazi

Alipoulizwa kuhusu ndoa yao itakuwa lini, alijibu "Usiulize."

Kim alikuwa wazi kuongea kuhusu mtoto wao North West na aliongea mengi kuhusu uzazi ambao sahizi ameamua kujishungulisha nao.


Kim Kardashian Aongea Kuhusu Malezi Kim Kardashian Aongea Kuhusu Malezi Reviewed by Admin on Monday, October 28, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.