Mamia ya waombolezi jana walijitokeza kutoa heshima yao ya mwisho kwa Anastazia Saro, mamake mzazi wa mtangazaji wa ITV Ufoo Saro. Sala hii ya mwisho ilifanyika katika kanisa la Lutheran Kibwegere Kibamba mjini Dar kabla mwendazake kusafirishwa moshi kwa mazishi.
Kisa hiki kilimkumba mwendazake baada ya kuvamiwa kwa risasi na majambazi.
Watangazaki wa ITV walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha mambo yote ya mazishi yalienda vyema. Ufoo ambaye pia alikuwa ameshambuliwa katika kisa hicho anaendelea kupokea matibabu yake huku siha yake ikiendelea kuimarika.
Mkurugezi wa ITV na Radio One Bi Joyce Mkaville kwa niaba ya mwenyekiti wa makampuni ya IPP Dr. Reginald Mengi alisema amepokea msiba wa mama Ufoo kwa masikitiko mengi.
Katika mazishi hayo wengi waliohudhuria walikuwa na huzuni mwingi na wengine walishindwa kujizuia kwa vilio.

Sala Za Mwisho Kwa Mwendazake Mamake Ufoo
Reviewed by Admin
on
Wednesday, October 16, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano