Mwanamziki Michael Jackon ametawazwa kwa mara nyingine kuwa msanii aliekufa anayelipwa sana ulimwenguni.
Baada ya kushindwa na Elizabeth Taylor mwaka jana, Michael amerudi kuwa nambari moja baada ya kupata faida ya $160 milioni kati ya Oktoba 2012 na Oktoba 2013.
Faida hii imetokana na mauzo ya shoo katika Cirque du Soleil, Mijac Music na recodi nyingine ambazo zinasimamiwa na kampuni ya Sony - ikiwemo Beatles, Lady Gaga, Taylor Swift, Eminem na wengineo.
Unaweza pia kusoma:
Diamond: Msanii Anayelipwa Zaidi Afrika Mashariki
Msanii mwigine aliyekufa ambaye anapokea pesa nyingi ni Bob Marley akiwa wa tano na $18 milioni. Bob alifariki kwa ugonjwa wa saratani mwaka wa 1981 akiwa na miaka 36. Ashawahi kuuza zaidi ya 75 milioni kwa muda wa mwongo miwili.

Bob Marley Na Michael Jackon: Wasanii Waliokufa Ambao Wanalipwa Sana
Reviewed by Admin
on
Thursday, October 24, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano