Filamu za Kibongo zimevuka mipaka baada filamu ya 'Mdundiko' kuchukua tuzo la Silicon Valley African Festval(SVAFF) nchini Marekani.
Filamu hii imeongozwa na producer Timoth Conrad na iliweza kuibuka bora baada ya kushinda filamu nyingine ambazo ziliwekwa katika kategoria moja. Filamu hii ilichukua tuzo hilo katika kategoria ya Achievement Narrative Film.
Filamu hii iliweza kushirikisha waigizaji watajika kama vile Jengua, Tinno, na Dokii.
Muvi hii inatarajiwa pia kushiriki katika tuzo la filamu bora asili nchini Uingereza tarehe 16 Novemba mwaka 2013

Filamu Za Tanzania Zatajika Ugaibuni
Reviewed by Admin
on
Wednesday, October 16, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano