Unordered List

Usher Amwambia Bieber 'Dont Ffkk It Up' Katika Filamu Yake Mpya(Video)

Definition List

Mafans wa Justin Bieber katika hii blogu mpo! kumebakia takriban siku 59 kabla filamu mpya ya 'Believe' ya Justin Bieber kutolewa.

Hivi majuzi tuliweza kumulika filamu hii katika chapisho moja la awali. Sasa kumetoka video ya chemsha bongo ya filamu hio.

Katika video hii ya 'Believe' wasanii wengi walihusishwa na wengine walikuwa wakimpatia ushauri katika fani ya mziki na jinsi ya kuishi ndani ya musiki.

Msanii Usher wa nyimbo maarufu 'More' katika video hii ya chemsha bongo alionekana akimwambia Bieber "Dont f*ck it up"

Cheki hio video hapa:

Video chemsha bongo ya 'Believe': Ushauri kwa Justin Bieber

Justin Bieber yuko mbioni ya kutoa nyimbo moja kila wiki siku ya Jumatatu hadi siku atakayozindua filamu yake ya 'Believe'. 

Unaweza kuzisikiliza nyimbo zake zote za awali katika lebo ya #MusicMonday hapa hapa katika blog yetu. Tegea kila Jumatatu ndani ya blogu yetu uweze kuwa wa kwanza kusikiliza nyimbo zake mpya kabisa.
Usher Amwambia Bieber 'Dont Ffkk It Up' Katika Filamu Yake Mpya(Video) Usher Amwambia Bieber 'Dont Ffkk It Up' Katika Filamu Yake Mpya(Video) Reviewed by Admin on Sunday, October 27, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.