Chandra Bahadu Dangi kutoka Nepal amevuja rekodi ya kuwa mwanamume mfupi zaidi duniani. Chandra ana urefu wa sentimita 54.6.
Pia Chandra amevunja rekodi ya kuwa mwanamume mfupi zaidi kuweza kupimwa na shirika la Guinness World Record.
Chandra aliingia katika recodi ya kuwa mfupi zaidi baada ya kupimwa urefu mwaka wa 2012 Februari katika hospitali ya CIWEC Travel Medical Clinic ilioko mji wa Lainchaur, Kathmandu.
Kulingana na Guiness World Record, Chandra aliweza kupimwa urefu mara tatu kwa muda masaa 24 na ilithibitika kuwa ana urefu wa sentimita 54.6.
Unaweza pia kusoma:
Bob Marley na Michael Jackson: Wasanii Waliokufa Ambao Wanalipwa Sana
Chandra anadai kuwa ana miaka 73 na mwenye kilo 14.5. Miaka yake yote amekuwa akiishi katika kijiji cha Rhimkholi kilichopo kilomita 200 kutoka Kathmandu.
Kazi yake kuu kwa Chandra ni kusuka vikapu na anaishi na ndugu zake wa kiume watano(vimo vya kawaida)
Pia Chandra amevunja rekodi ya kuwa mwanamume mfupi zaidi kuweza kupimwa na shirika la Guinness World Record.
Chandra aliingia katika recodi ya kuwa mfupi zaidi baada ya kupimwa urefu mwaka wa 2012 Februari katika hospitali ya CIWEC Travel Medical Clinic ilioko mji wa Lainchaur, Kathmandu.
Kulingana na Guiness World Record, Chandra aliweza kupimwa urefu mara tatu kwa muda masaa 24 na ilithibitika kuwa ana urefu wa sentimita 54.6.
Unaweza pia kusoma:
Bob Marley na Michael Jackson: Wasanii Waliokufa Ambao Wanalipwa Sana
Chandra anadai kuwa ana miaka 73 na mwenye kilo 14.5. Miaka yake yote amekuwa akiishi katika kijiji cha Rhimkholi kilichopo kilomita 200 kutoka Kathmandu.
Ulinganishi kati ya Chandra na vitu vingine |
Mwanamume Mfupi Zaidi Ulimwenguni
Reviewed by Admin
on
Thursday, October 24, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano