Unordered List

Definition List

Diamond Achora Tatoo Mkono Wa Kulia(Picha)

Mwanamziki huyu amepigwa picha na paparazi na inaonekana Nassib Abdul 'Diamond' amejichora picha mkono wake wa kulia. Picha hio haijabainika vizuri imechorwa kitu gani lakini kimtazamo wangu hajaweka maandishi yeyote.

Picha: Hisani ya bongoclantz.com


Diamond Achora Tatoo Mkono Wa Kulia(Picha) Diamond Achora Tatoo Mkono Wa Kulia(Picha) Reviewed by Admin on Saturday, October 19, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.