Unordered List

Definition List

Beyonce Ajimwanya Katika Mtandao Wa Tumbrl(Picha)

Huku wasanii wakitafuta umaarufu katika mtandao wa Instagram, Beyonce kwa upole ametulia katika mtandao wa Tumbrl huku akipiga picha vile anavyojiskia.

Msanii huyu anapenda mara nyingi kuweka picha zake kwa mtandao wa Tumbrl na naona pia amesukumwa na wimbi la wasanii kuweka picha kwa mtandao wakionyesha sehemu zao za mwili.

Hizi picha ameziweka leo (22 Oktoba) na ameonyesha kuwa mtulivu huku akiweka sehemu zake za mwili wazi na kuangalia angani
Hii nyingine ameonyesha akiwa na nguo ya kuogelea akiwa amepiga picha hii akiwa South Amerika katika ziara ya 'Mr Carter World Tour'


Beyonce Ajimwanya Katika Mtandao Wa Tumbrl(Picha) Beyonce Ajimwanya Katika Mtandao Wa Tumbrl(Picha) Reviewed by Admin on Tuesday, October 22, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.