Aliyekuwa rais wa nchi ya Poland na pia mshindi wa tuzo la Nobel leureate Lech Waleza, Jumatatu aliiomba jumuia ya kimadola ilete mfumo wa amri kumi za Musa za kisasa.
Aliyaongea haya wakati alipozuru kikao cha kutuza washindi wa Nobel Prize nchini Warsaw.
'Tunahitaji kuwa na maandiko na sheria ya sawa katika dini zote hapa duniani, kukitegenezwa amri kumi za kisasa zitafaidi dunia ya sasa na usoni.' alisema haya wakati wa ufunguzi wa siku tatu cha kikao hicho.
Unaweza pia kusoma:
Nchi Ya Korea Kujenga Jumba Lisilo Onekana
Walesa aliweza kupata tuzo la Nobel miaka 30 iliyopita baada ya kumaliza ufumo wa kikomunisti nchini Poland mwaka wa 1989.

Tunahitaji Amri 10 za Musa Ambazo ni za Kisasa
Reviewed by Admin
on
Tuesday, October 22, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano