Elizabeth Michael kwa jina maarufu Lulu ameeleza kuwa anapendwa vile anavyofuatwa na waume kumtongoza. "Mimi hufurahia sana kutongozwa." Lulu alisema baada ya kuongea na mdaku wetu.
Lulu ni msanii alieweza kuiteka hadhira ya wapenda filamu za kibongo. Ni msanii ambaye mbeleni alikuwa amekumbwa na kashfa tofauti tofauti na ilikuwa changamoto kwake.
Lulu anasema kwa siku anatongozwa na wanaume kila aina na wengi. "Mimi hupendwa sana kufuatwa na wanaume wenye hela na hufurahia sana jambo hili.
Tangu atoke kizimbani Lulu anadai idadi ya watu wanaomtongoza imekuwa kubwa na jambo hili limemfurahisha hata zaidi.
unaweza pia kusoma:
Snura: Kiuno changu kinazuzua wengi
Lulu Awachorea Tatoo Mahasimu Wake
"Ninatongozwa sana kila siku na wanaume tena wenye pesa zao. Binafsi nafurahi sana kupendwa na ninapogundua kwamba mtu fulani ananipenda huwa najiskia furaha sana...kutongozwa kwa mwanamke yeyote mzuri ni jambo la kawaida. Kukubali au kukataa ombi la mwanamume ni maamuzi ya mtu binafsi." aliendelea kusema huku akiashiria kuomba asiulizwe kwa siku anatongozwa na waume wangapi.

Lulu: Napenda Kutongozwa
Reviewed by Admin
on
Thursday, October 17, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano