Toby Sheldon aliwazuzua mafans wa Justin Bieber. Ama alijifanya mjinga baada ya kutumia bidii yake yote ili afanane na Justin Bieber.
Jamaa huyu wa miaka 33 alitumia takriban dola 100,000 ili kufanana na Bieber. Upasuaju wake unaweza kufanywa kwa muda wa miaka mitano.
Angalia picha hapa chini(inaweza kusumbua kwa wengine)
Jamaa huyu alitumia pesa zake kujeuza nywele, mdomo wake na vile anavyocheka ili kufanana na Justin.
"Ni mdomo wa Justin Bieber nliompa ndio umemfanya aonekane kama kijana. Niliuenua mdomo wa juu halafu nikaupanua wa chini ili aonekane kama Bieber, habari zinasema.
Cheki hii picha nyingine hapa chini.
Huyu jamaa kweli amefanya upasuaji ili kufanana na msanii huyu lakini naona kama ameharibu uso wake na anahitaji huduma ya matibabu ya haraka.

Jombi Atumia $100,000 Kwa Upasuaji Ili Kufanana na Justin Bieber
Reviewed by Admin
on
Sunday, October 20, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano