Maandalizi ya shoo inayoaminika kuwa kubwa mwaka huu iko katika hatima ya mwisho kuhakikisha tukio lote limefaulu. Wasanii ikiwemo Alaine, Mohombi na wengine wanatarajiwa kuwakilisha katika tukio hilo.
Cheki maandalizi ya jukwaa litakalobeba wasanii hao wa kimataifa.
Maandalizi Ya Fiesta2013 Katika Leaders Club(Picha)
Reviewed by Admin
on
Thursday, October 24, 2013
Rating: 5
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano