Linah akikatika sambamba na Amin ndani ya Serengeti Fiesta 2013.
Rachel akilishambulia jukwaa la Fiesta 2013.
Peter Msechu akifanya vitu vyake stejini.
Snura 'Mama Majanga' akionyesha mbwembwe zake jukwaani.
Mwanadada Ray C akiwapa raha mashabiki wa Fiesta 2013 waliokuwa 'wamemmis' kwa muda mrefu.
Msanii Linah akifanya yake jukwaani.
Umati wa watu ukifuatilia shoo ya Fiesta 2013.
Mwanadada akitoa burudani kwa maelfu ya mashabiki waliohudhuria Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya Leaders Club.
Msanii Menina akinyanyuliwa juu na wacheza shoo wake.
TUKIO LILILOJIRI LA FIESTA 2013(PICHA)
Reviewed by Admin
on
Sunday, October 27, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano