Kim Kardashian wiki iliopita aliingia katika mtandao wa Instagram na kugawa picha ya 'swimsuit-based selfie'. Alipiga picha hio akiwa nusu uchi.
Picha hii labda ilimridhisha Kanye West na kumfanya kurudi nyumbani mbio, lakini mashabiki wake wa dhati waliona amevuka mipaka.
Kim kwa sasa amekuwa mama na ana mtoto wa miezi mitano nyumbani. North West atajihisi vipi akiingia kwa mtandao akiona picha hio ya mamake?
Unaweza pia kusoma:
Kim Kardashian Katika Filamu Ya Vioja
Mmoja wa mafans wake aliandika haya kwa mtandao wa Twitter:
"Kim Kardashian you are a MOTHER now I don't think posting pictures of your ass on Instagram is appropriate,
Wengine waliendelea kumshabulia star huyu wa show ya 'Keeping Up With The Kardashians' hivi:

Kim Kardashian akiwa amevalia nguo ya kuoga |
Wengine waliendelea kumshabulia star huyu wa show ya 'Keeping Up With The Kardashians' hivi:
- "What the hell Kim? You are an actual mother. Instead of posting pictures of your precious baby, you post pictures of your f***ing ass and body. You should be ashamed of yourself posting this."
- "You're a mother, not a prostitute."
- “Smh @ Kim Kardashian's latest selfie. Put on some mom jeans and go feed Compass.”
Kim Amridhisha Kanye, Mashabiki Wake Wamshambulia
Reviewed by Admin
on
Sunday, October 20, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano