Ulipata kuiona ile pete Kanye aliyompatia Kim ya harusi?, Vile watu walivyomponda Kim kwa tabia zake ovyo za kupiga picha akiwa nusu utupu na vile Kanye alivyojibu kwa matukio yote haya.
Sasa ishakuwa rasmi kuwa mwanamziki Kanye West anataka kumuoa Kim.
Katika video iliopigwa na paparazi asiyejulikana ilimuonyesha Kanye amepiga magoti huku ameshikilia maua akimuomba Kim amkubali kama mke wake halali
Unaweza pia kusoma:
Video Ya Utata Pale Kim Alipokuwa Akijifungua
Haijulikani wawili hao watakuwa pamoja hadi lini kwani Kim alishawahi kuolewa na waume zaidi ya wanne. Kila la heri kwa wawili hao.
Sasa ishakuwa rasmi kuwa mwanamziki Kanye West anataka kumuoa Kim.
Katika video iliopigwa na paparazi asiyejulikana ilimuonyesha Kanye amepiga magoti huku ameshikilia maua akimuomba Kim amkubali kama mke wake halali
Unaweza pia kusoma:
Video Ya Utata Pale Kim Alipokuwa Akijifungua
Kanye West Ampigia Magoti Kim Ili Amkubali
Reviewed by Admin
on
Thursday, October 24, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano