Jeshi la Israel nimeapa huwaadhibu wale wanawake walioingia katika mtandao wa kijamii wa facebook na kuweka picha wakiwa nusu utupu.
Kulingana na picha hizo, wanawake hao walipiga picha hizo wakiwa wamevalia na kupiga picha wakiwa na zana za vita.
Kwa mujibu wa mtandao wa Israel, Walla, wanajeshi hao walikuwa makurutu ambao walijiunga na kikosi hicho kilichoko Southern Israel Base.
Jeshi la Israel lilighadhabishwa na matukio hayo na kuwapa adhabu inayofaa kwa wanajeshi hao.
Ingawa hakuna mengi yaliyotajwa kuhusu makurutu hao na majina na sura zao zilibanwa.
Tukio hili si la kwanza kwa jeshi la nchi hii kwani mwaka wa 2010 kulishuhudiwa tukio ambapo jeshi mmoja mwanamme alikuwa akicheza mbele ya kibiriti ngoma huku akichukua video.
Cheki picha hapa:
Wanajeshi Wa Israel Wapiga Picha Uchi, Wazisambaza Facebook
Reviewed by Admin
on
Monday, November 04, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano