Unordered List

Definition List

Maheeda Ataka Kutoa Filamu Ya Ngono Na Davido

Staa wa Injili Nigeria Maheeda ameufungua moyo wake kupitia akaunti yake ya Instagram.

Baada ya kuweka picha ya matamanio kwa Instagram hakusimama hapo....

Staa huyu aliweka maneno ya kuwa anataka kutoa filamu ya ngono lakini lazima inamhusisha Davido ndani yake. "Am ready for a sex tape, and if its not with Davido, am not doing it..."

Staa huyu aliongezea kuwa yeyote yuko huru kuupitisha ujumbe huo kwa Davido

Mwaka jana viongozi wa makanisa walimlaani Maheeda baada ya kuachilia video tata ya kuukaribisha msimu wa krismasi
Maheeda Ataka Kutoa Filamu Ya Ngono Na Davido Maheeda Ataka Kutoa Filamu Ya Ngono Na Davido Reviewed by Admin on Friday, September 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.