Unordered List

Definition List

Anty Ezekiel na Kassim Mganga Wahusishwa Kuwana Uhusiano wa Kimapenzi


Gazeti la Makorokocho ambalo mhariri wake ni Soudy Brown kutoka XXL ya Clouds Fm leo kwenye ukurasa wa mbele kabisa kuna stori inayomhusu Aunty Ezekiel pamoja na Kassim Mganga.

Stori hii imeanzia wakati wapo pamoja Marekani kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo ambapo inasemekana walikua karibu zaidi na hata hotel kwa sasa wanalala hotel moja.Soudy Brown amempata Kassim Mganga na kakubali kuongelea hiki kinachozungumzwa kwenye mitandao kuwa anatoka na Anti Ezekiel kwa sasa.
Anty Ezekiel na Kassim Mganga Wahusishwa Kuwana Uhusiano wa Kimapenzi Anty Ezekiel na Kassim Mganga Wahusishwa Kuwana Uhusiano wa Kimapenzi Reviewed by Admin on Friday, September 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.